Search

466 results for Baraka Loshilaa :

  1.  Polisi yawaachia ‘Boni Yai’ na Malisa, watoa msimamo

    Pamoja na kukaa rumande kwa siku tatu, Jacob amesema hawatanyamazishwa kwa kunyimwa dhamana akiwataka wote waliopoteza ndugu zao wapeleke taarifa kwake.

  2. Dk Biteko atoa maagizo kilio cha kodi, tozo shule binafsi

    Serikali imetoa tamko hili ukiwa ni mwezi mmoja kupita tangu gazeti hili kuandika kilio cha wadau hao kwenye kodi wakidai zipo takribani 25 zinazowanyima usingizi.

  3. Mikoa 16 kupata mvua leo, upepo mkali wa siku nne

    Taarifa ya TMA imetolewa leo Aprili 26, 2024 na TMA huku ikiweka angalizo la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita mbili.

    New Content Item (1)
  4. Afrika yatakiwa kupunguza gharama huduma za afya

    Kitita cha PEN-PLUS ambacho kitashughulika na maradhi ya selimundu, kisukari aina ya kwanza na tatizo la moyo kwa watoto, ni mpango wa nchi za Afrika kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza.

  5. PRIME Mkakati wa Serikali kunusuru wanafunzi na mafuriko

    Takwimu za jumla za athari iliyotolewa juzi bungeni jijini Dodoma na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kaya 510,000 na watu 200,000 wameathirika, huku kukiwa na majeruhi 236. Pia nyumba 10,000...

  6. Fursa ya miaka mitano kwa wanafunzi wa UDSM hii hapa

    Imeelezwa kuwa, wanafunzi kukosa fedha za kulipia ada ndani ya vyuo vya elimu ni tatizo kubwa hivyo ufadhili huo utatoa fursa kwa wanafunzi wenye kipato kidogo

  7. Mafuriko yakatisha safari mabasi yaendayo haraka Dar

    Taarifa ya leo Ijumaa Aprili 26, 2024 iliyotolewa na Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano Dart imeeleza mabasi kwa njia za Kimara hadi Kivukoni, Gerezani na Morocco yanaishia Magomeni Mapipa

  8. Tanzania lango la kupitisha kemikali hatarishi ya Ammonium Nitrate

    Hutumika migodini kulipua miamba, isipodhibitiwa inaweza kuhatarisha usalama wa binadamu.

  9. Waziri Ummy: Pombe feki chanzo ongezeko magonjwa yasiyoambukiza

    Uzalishwaji wa pombe zisizo na ubora umetajwa kuwa mwiba kwa Serikali kutibia magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo athari zinazotokea katika ini, moyo na figo.

  10. Mvua yakwamisha shughuli kwa muda Dar

    Baadhi ya maeneo yaliyoathiriwa na mvua ni Kinondoni, Tabata, Sinza, Temeke, Mbweni, Tegeta, Boko, Bunju, Mwenge, Kunduchi na Bahari Beach

Page 1 of 47

Next